Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 15 April 2012

Nawatakia J'Pili njema,Burudani-ni wewe baba unaweza na Sifa ni kwako- living water choir!!!!!!!

Muwe na J'Pili Njema woote, Yenye Amani,Furaha, Upendo na Umoja.
Mungu akasema Iwe nuru;Ikawa nuru. Mungu akaiona Nuru,ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
Neno la Leo.Mwanzo1:1-8.
Mbarikiwe sana,Upendo Daima.

4 comments:

emu-three said...

Na wewe pia ndugu wa mimi

Yasinta Ngonyani said...

Nami nasema natumaini jumapili ilikuwa njema kwako pia na familia na kila aliyepita hapa na kusoma neno la leo.

emuthree said...

Ndugu wa mimi namiss wewe, upo salama lakini?

Rachel Siwa said...

Ahsante sana wapendwa1
@Ndugu wa mimi pole kwa wasiwasi ndugu yangu,pia Ahsante sana kwakunitafuta, mimi nipo Mzima kabisa ila Bithe Mingi ndugu wa mimi!Pamoja sana nami nilikumiss sana.