Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 1 April 2012

Nawatakia J'Pili Njema,Burudani-AIC Chang'ombe na Bahati Bukuku,Sikiliza mwenyewe!!


Wapendwa muwe na J'Pili yenye Amani na Baraka Tele!!!!!!Neno la Leo;zaburi:12;1-8.Bwana UokoeMaana Mcha Mungu amekoma,Maana Waaminifu wametoweka katika Wanadamu.....Endelea.

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Jumapili njema nawe na familia yako....

EDNA said...

Jumapili njema mwanakwetu, familia pamoja na chemeji yangu.

Goodman Manyanya Phiri said...

J'pili Njema Kabisa! Na mwanzo mwema kwa Wiki Mpya!

Mary Damian said...

Nimebarikiwa kwa nyimbo hizi, ubarikiwe!

Rachel Siwa said...

Ahsanteni sana Wapendwa wangu,da'Yasinta na Mwanakwetu nimefikisha ujumbe.kaka Manyanya Ameen.@da'Mary Ameen na karibu sana.

emuthree said...

Na wewe pia