Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday 27 April 2012

Chaguo la Mswahili Leo-Sweet Mother ,Wagadu Gu,Colombia,!!!!!!!!Wakaka na Karikiti!!!!
Haya Waungwa, yakale ni Dhahabu Waswahili wanasema au?
Kuna lolote unakumbuka hapa?


Inavuka soxxxx kinabakia kiatuuuu.
Muwe na wakati mwema!!!!!!!!

4 comments:

Mija Shija Sayi said...

Aisee mzeemwenzangu hizi nyimbo zimenikumbusha mbali kinoma...Big up muke ya mubena!!

Rachel Siwa said...

Yaani Mzee mwenza weacha tuu,Colombia colombia aiiiiiiiii!!!!!!Ujana maji ya moto dadake!!!!!

Anonymous said...

Kwakweli umenikumbusha mbali sana enzi za shule ya vidudu hizo mtu wangu, take me back me colombiaaaa let me rumba kama namuona kakaangu binaam hapo enzi zake

Rachel Siwa said...

Hahhahaha kaka Binamu enzi hii alikuwa kiboko aliziimba sana nilikuwa natamani nilale chumbani kwao, sababu kulikuwa na Radio@ Anonymous.