Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 29 April 2012

Nawatakia J'Pili Njema;Burudani-liko lango moja wazi,Bwana Usehemu Yangu,Si MbaliNawatakia J'Pili Yenye Furaha,Upendo,Uvumilivu,Fadhili,Busara,Kiasi na Shukrani.
Utamlinda yeye ambaye moyo wake  Umekutegemea katika Amani Kamilifu,Kwa kuwa Anakutumaini
Neno la Leo;Isaya 26:3-4.
Mbarikiwe Woooote.

4 comments:

EDNA said...

Jumapili njema kwako pia mwanakwetu.

Mija Shija Sayi said...

Jumapili njema pia..

Yasinta Ngonyani said...

jumapili njema nawe pia!!

Rachel Siwa said...

Ahsanteni sana Wapendwa wangu, Mungu awenanyi daima.