Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday 31 March 2013

COVENTRY WOMEN GALA ILIVYOKUWA[sehemu ya1]!!!!!!!

Mgeni wetu alikuwa Da'Mariam Kilumanga.

   
Waandaaji wa Hii Coventry Women Gala.. ni hawa ndiyo waliotukusanya Wanawake Wenzao...Ilipendeza sana na Hongereni saana...[Da'Stellah aliyeshika kipaza sauti]

Da'Halima aliyeshika kipaza Sauti

Da'Agness aliyeshika kipaza sauti

Waanzilishi wa Coventry Women Gala!!!!!!!!!


 Waungwana;Shughuli ilikuwa Nzuri na yakupendeza sana,Kuna Meengi sana tumejifunza...
Nitakueleza siku nyingine..Endelea na Picha kwanza..........

Mikakati hahahaa.....


Watu  wakitangaza na Biashara zao...Wanawake Oyeeeeee!!!!!!


[Mi-Ra]............

Tutaendelea usicheze mbaaaali........

"Swahili NA Waswahili"
Pamoja Saaaana.

Nawatakia J'Pili na Pasaka Njema!!!!!!

Wapendwa Nawatakia J'Pili na PASAKA Yenye Amani,Baraka,Furaha na Upendo.....
Kwa kuwa MUNGU,aliyesema,Nuru itang'aa toka Gizani,Ndiye aliyeng'aa mioyoni mwetu, atupe nuru ya elimu ya utukufu wa MUNGU katika uso wa YESU KRISTO.

Neno La Leo;2Wakorintho:4:6-15;Kwa maana mambo yote ni kwa ajili yenu,ili neema hiyo ikiongezwa sana, kwa hao walio wengi shukrani izidishwe,na MUNGU atukuzwe.

                   "Swahili NA Waswahili" Amani Kwenu.

Friday 29 March 2013

Jengo Laporomoka Dar ;Poleni sana Ndugu na Jamaa!!!!


Poleni  sana Ndugu na jamaa waliokumbwa na mkasa huu....MUNGU IBARIKI TANZANIA.


                           "Swahili NA Waswahili"Pamoja Sana.

Wednesday 27 March 2013

UNAJUA HII?COVENTRY WOMEN GALA...IMEWADIA!!!!!!Waungwana; Ule wakati umewadia....ni j'mosi hii..

Njoo ukutane na Wanawake wenzio..!!
Ni;COVENTRY WOMEN GALA!!!
kidole kimoja hakivunji chawa....Kisa cha kukosa uhondo? kama unajua hili na wengine wanajua lile!!!!!

Umeshapata Tiketi[Ticket] yako?
 Hazitauzwa mlangoni..wahi sasa..
Manunuzi;piga namba hizi..07500875394/07951583622/07950198703
Mwisho wa manunuzi ni Ijumaa saa 2:00 usiku[20:00.pm]Kwa masaa ya UK.Wahi sasa!!!!!!!

Mimi nitakuwepo Wewe Jee?


COVENTRY WOMEN GALA


BE PROUD TO BE A WOMAN

We welcome all women from different nations to get together
 and to meet other women
 and discuss,
 inspiring issues and to have fun.


Speakers will be Mariam Kilumanga
 (Chair person of Tanzania Women Association)
 from London.

 Aunty Fay from B'ham,
 Rachel from Coventry 
(Swahili na Waswahili Blog),, 
Zaneli Mary Kay Consult
from Coventry and other speakers.

FASHION SHOW WILL BE PRESENTED BY OUR FANTASTIC DESIGNERS IN COVENTRY 
DA'MIJA AND TUMA NGAZI .

Different topics such as Women Empowerment,
 Motivation
 and promoting 
Women in business.
       
Don't Miss this wonderful event
 and tell your friends.

you are all welcome!!!!!!!
                                                   
COVENTRY WOMEN GALA
BE PROUD TO BE A WOMAN.

     WOMEN POWER.

Monday 25 March 2013

Sivuno's Baby Shower na Waswahili wa Holland!!!!!Sivuno na mamayake Mdogo. Rabia......Muke  ya Nyembo.Ndiye Aliyekuwa msimamizi mkuu[Mama Shughuli]

Shughuli hi ilifanyika Holland[Uholanzi].....
 kama unavyoona Waswahili wa huko na Ushirikiano/Umoja wao kwenye Kufanikisha Jambo/Mambo Yao.....
Basi nisiwe na maneno Meengi...Endelea kuangali Picha!!!!!!!
MC Wa siku hiyo Alikuwa da'Sekky.....kama unavyomuona ......Mwanamke kujiamini!!!!!!


Watu wakijiachia.......

Rabia Mama wa Shughuli alitunzwa....

 Familia ya Nyembo inawashukuru sana woote  mliofanikisha kwa Hali,Mali, Muda na kuonyesha Upendo na Umoja.
MUNGU azidi kuwabariki...
Tunawapenda Wote na Asanteni Sana.unaweza kutuma picha na mengineyo kwa Email hii;rasca@hotmail.co.uk

"Swahili NA Waswahili"
Pamoja Sana.