Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday 13 March 2012

Wanawake na Mitindo ya Nywele,Pata na kideo Jinsi ya kuweka Nywele Bandia!!!!!!

Haya Waungwana Mitindo ya Nywele kwa Wanawake, Mmmh lakini kwa sasa hakuna cha Wanaume wala cha Wanawake, kila mmoja  anajaribu kuingilia Mitindo ya Jinsia nyingine,Au labda mimi ndiyo sielewi, kwamba hakuna Mitindo ya Wanawake na Wanaume Wote ni Sawa!!!!Wewe uliyepita hapa unaonaje?
Swali ;Wanaume wengi Wanaofanya Kazi  SALON zA Wanawake Wengi wao/Baadhi yao ni MASHOGA?

4 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Hadi hapo imekuwa safari kweli, yaan tunatoka mbali na mitindo hii.


Nakumbuka miaka kama 1967 wanawake kwa wanaume Afrika Kusini hata pasi ya moto kwa mafuta ya kupaka walitumia kulainisha nywele, na wengi walijichoma ngozi bure.


Kwa wake zetu, mimi nawaonea pole sana bada ya msuko: unakuta mtu analalamika usiku wote eti nywele zake "wamemvuta mno". Nami nasema: YANINI YOTE MATATIZO???

Yasinta Ngonyani said...

alivyomsuka hivyo ilitosha kabisa mie sijawahi kufanya hivyo ninachofanya ni kusuka rasta tu na hivi karibuni nitaacha kabisa nataka kuwa natural.... hebu angalia hapa..http://simon-kitururu.blogspot.com/2012/03/wanawake-weusi-na-nyele.html

emuthree said...

Ndugu wa mimi tupo pamoja

Anonymous said...

Hiya! I just wish to give a huge thumbs up for the good info you
might have here on this post. I might be coming again to your blog
for extra soon.

My webpage clairol beautiful collection semi-permanent hair color on natural hair