Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 18 March 2012

J'Pili ya leo ni Maombi kwa Wajane,Yatima , Wenye shida na Tabu; Kabula anasema Dhihirisha na Upendo anasema Hapa Nilipo!!!!!!!


Leo ni siku ya Mama,Tuwaweke kwenye Maombi,Sala,Dua, Wajane,Yatima, Wenye Shida na Tabu.Mungu awasimamie katika Maisha yao Wajane na Yatima,Mungu uwaguse wenye Shida na Tabu, Wengine wanahitaji Watoto,Wanahitaji kuwa MAMA/BABA,Kuna wanohitaji Wenza/Ndoa,Elimu,Chakula,Malazi,Upendo,Faraja.Wagonjwa walio Hospitalini na Majumbani.Waliokata Tamaa.Waliopoteza Wapendwa wao katika Majanga mbalimbali.Walio vitani.Na mengine Meengi. Mungu uwaguse kwa Mkono wako wenye Nguvu.

Neno la leo;Matendo ya Mitume:9;36-43.Na Mwanafunzi mmoja alikuwa Yafa Jina lake Tabitha,Tafsiri yake ni Dorkasi[yaani Paa];Mwanamke huyu  alikuwa amejaa matendo mema na sadaka alizozitoa.Endelea na Uwe na wakati mwema.

7 comments:

Anonymous said...

Mama na mwana mmependezaaa
Asante kwa maombi!!
Ubarikiwe..

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa neno la leo...na sala nzuri. Akina mama oyeeeeeeeeeeeee mtuwe na siku njema..

EDNA said...

Hongera wamama wote.

Simon Kitururu said...

Wamama OYEEEEH!

Mija Shija Sayi said...

Kabinti kazuri haka jamani..!!

Wamama juuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!

emuthree said...

Tupo pamoja ndugu wa mimi

Rachel Siwa said...

Ahsanteni sana Waungwana,Pamoja sana!