Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday, 15 March 2012

Mswahili Wetu Leo; DR. SHABANI KACHUA MTANZANIA ANAEIPEPERUSHA VEMA BENDERA YA TANZANIA NCHINI CANADADr. Engineer Shabani G Kachua akijiandaa kuingia kwenye Professional Engineer Induction Ceremony nchini Canada
Hapa Dr. Kachua akionyesha moja ya Nishani aliyotunukiwa siku hiyo
Dr Kachua akiwa amesimama kwa nyuma na Mainjinia wenzake
Akipiga picha ya pamoja kwa kumbukumbu na mainjinia wenzake.
Kwa niaba ya Watanzania ninapenda kukupongeza kwa kuipeperusha vema Bendera ya Tanzania.

Habari hii nimetumiwa na KapingaZ Blog.http://kapingaz.blogspot.com/

Ahsante sana.

No comments: