Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday 29 September 2013

Natumaini J'Pili ni Njema kwenu;Burudani,Bahati Bukuku-Barthimayo,Waraka wa Amani...!!

Wapendwa Muendelee kuwa na  J'Pili njema, Yenye Kutafakari,Amani,Upendo na Kujitolea kwa wenye Kuhitaji.

Kwa maana ufalme wa mbinguni umefanana na mtu mwenye nyumba aliyetoka alfajiri kwenda kuajiri wakulima awapeleke katika shamba lake la mizabibu.....

Neno La Leo;Mathayo Mtakatifu:20:1-16....Vivyo hivyo wa  mwisho watakuwa wa kwanza, na wa kwanza watakuwa wa mwisho.





"Swahili NA Waswahili" MUNGU awabariki Sana.

Saturday 28 September 2013

Chaguo La Mswahili Leo;-Baka Gdine!!!!!

Waungwana;Chaguo La Mswahili Leo si Wengine..Wanaitwa/kujiita.

Orchéstre Baka Gbin

Mmmmmhhh...hapa ni mwendo wa kusakata mpaka chiniii.. si maneno..
Iyeeeeehh mama eehh Iyeehhhh mama eehhh.........!!!!

mimi nimewapenda sana.. vipi wewe?
Endelea na Burudani.....

.






"Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana

Thursday 26 September 2013

Wanawake Na Mitindo Ya Nywele;Box Braids!!!



Waungwana;Wanawake Na Mitindo, Hii mitindo sasa inaenda na Inarudi..Lakini haiishi hamu,Zaidi Style za Ubanaji zinaongezeka..haya ukibinua kushoto/kulia Juu/Chini inakwenda tuu na inapendeza sana.

Unakumbuka mitindo/misuko hii ya Rasta ilianza lini?
Jee wewe unaipenda? na jee inampendeza kila mtu au inaendena na sura ya mtu.. Nyembaba/Ndefu.Pana/Mviringo?
Vipi hii Mitindo inaendena na Umri?

Mwanamke Kupendeza na Kuiga sawa/kupo, Lakini tusivuke Mipaka.
Karibuni Wote Kwa Maoni/Mawazo, Ushauri,Tuelimishane kwa Upendo.

Kwa Mitindo Zaidi ingia;http://www.mitindoafrica-abroad.blogspot.com/

"Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana

Wednesday 25 September 2013

Sunday 22 September 2013

Muendelee na J'Pili hii vyema; Burudani-chidumule, mimi FurahaYangu!!!

Wapendwa muendelee kuwa na J'Pili njema, Amani na Upendo.

Pia tuwaweke wenzetu wa KENYA mikononi mwa MUNGU katika kipindi hiki kigumu kwao.


"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana.

Saturday 21 September 2013

TAARIFA YA MSIBA WA MAREHEMU LILIAN NABURI - TANGA

R.I.P LILIAN NABURI Bwana Ametoa na bwana ametwaa jinalake libarikiwe     Tuungane jumatatu kumsindikiza mpendwa wetu


Marehemu Lilian Naburi
Familia ya Mzee Geofrey Naburi wa Nguvumali Tanga inatangaza kifo cha Binti yao Mpendwa Lilian Naburi kilichotokea Arusha Jumatano ya tarehe 18/09/2013. Mazishi yanategemewa kufanyika Jijini Tanga siku ya Jumatatu ya tarehe 23/09/2013 katika makaburi ya Bombo.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza ukawasiliana na kaka wa marehemu
Ndugu Ben Naburi kwa namba ya simu +255 713 563003
Blog hii inaungana na familia katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe

Friday 20 September 2013

Lina's[ma'Nicole] Baby Shower -Coventry!!!


Mwenyewe da'Lina


Lina[mama Nicole na Nicole]
                                 dadazzz na mtoto

              Ndugu,Jamaa,Marafiki......



Chakula


Mapoziii...
Muzikiiiiiiiii....



Baby Shower ya Da'Lina[Mama Nicole] Iliyo fanyika Covenrty,UK.
Iliunganisha watu/Wanawake kutoka miji mingine hapa U.K.
Da'Lina Wanawake wa Coventry na wenzao kuotka sehemu mbalimbali wanakutakia kila lililo jema katika Safari yako,MUNGU azidi kukubariki,kukusimamia katika Yote.
Hongera sana na kila la kheri.



"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.