Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday 15 November 2013

Wanawake Na Mitindo Ya Nywele!!!!

Waungwana;Wanawake na Mitindo Ya Nywele...
Hivi ni kweli Nywele ndiyo pambo kubwa kwa Mwanamke?
Kujua/Kuona Zaidi nifuate huku;
http://mitindoafrica-abroad.blogspot.co.uk/

"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Wamependeza mno ntajaribu siku moja kusuka hivyo:-)

Rachel Siwa said...

Utapendeza sana KADALA..Upi umeupenda zaisi?

EDNA said...

wacha weee nimeipenda sana hiyo mitindo ila tatizo huku kwetu hakuna wataalamu wa kusuka kama hivyo,mweeeh!
Nilivyokumiss mwanakwetu sisemi,salamu zako nimezipata asandi sana me love love love you miiiiingi.

Rachel Siwa said...

Nimefurahi kuku ona tena Mwanakwetu..Nami nilikumiss saaana.
Nywele nzuri na ukimpata wa kukusuka hizo bei zao sasa?
Msalimie Shemeji wa mimi...MINGIIIII LOVE.

Unknown said...

Dada Edna nimekuona ktk mtandao ulikomenti juu ya nywele...sasa nikaisi kuwa huenda wewe ni ndugu yangu mana kuna neno kama asandi linafanana na kiligha chetu....hasante....