Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 10 November 2013

Muendelee na J'Pili hii Vyema;Burudani Mchanganyiko-Hear My Cry Oh Lord,Blessed be the Name of the LORD,Na....!!!!

Wapendwa;Nimatumaini yangu  J'Pili inaendeleavyema...
MUNGU ni Pendo.Mimi nakupenda sana wewe uliyepita hapa/Unayepita hapa na Woooote....Muwe na Amani,Furaha na Upendo wa kweli...
Wapenzi na Mpendane;kwakuwa pendo latoka kwa MUNGU, na kila apendaye amezaliwa na MUNGU,naye anamjua MUNGU.

Neno La Leo;Waraka wa Kwanza wa Yohana:4:7-21"Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Naamini nawe ulikuwa na jumapili njema sana pia familia yako:-) Kadala

Rachel Siwa said...

Asante..KADALA.tunamshukuru MUNGU.