Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 27 December 2011

Waswahili na Maisha yao -Ibada ya Kiswahili Columbus,Mungu awabariki sana!!

Picha zaidi utazipata kwenye blog ya VIJIMAMBO!!
           Ahsante sana.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kwa kweli inapendeza kusikia na kuona maana wengi wanafikiri inawezekana kufanya hivyo nyumbani Tz tu. Mungu awabariki sana ndugu zangu.

Goodman Manyanya Phiri said...

La! Ningefurahi zaidi kusoma zidi badala ya kusikiliza hayo mambo ya Colombus.

Ukweli ni kwamba sinazo GIG za kutosha kuangalia VIDEO.

Hata hivyo, nawapa hongera sana Waswahili wanapokumbuka Uswahili wao.

Mwaka 2012 uwe mwaka wa msukumo mkali wa Muungano wa Afrika!

Rachel Siwa said...

Ameeen da'yasinta!@kaka Manyanya pole sana hakuna maelezo sana yapo machache na picha ndiyo nyingi ingia kwa VIJIMAMBO,hapo pembeni utaipata blog yake.Muwe na wakati mwema wapendwa!!!!!!!

Goodman Manyanya Phiri said...

asante!