Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 17 December 2011

Chaguo la Mswahili Leo ni Kaka Isaac,Ameomba-WENGE B.C.B.G.Baswahili hao!!!!!

7 comments:

Unknown said...

Aaahh... Burudani murua hii.. ahsante sana na wikiendi njema..

Goodman Manyanya Phiri said...

J.B. Mpiana! Na kweli, hela zao wanazipatia jasho hao. Asante, Mdogo wangu!

Yasinta Ngonyani said...

DadaR. mwenzio wacha ncheze pamoja nao..Ahsante kwa burudani

Rachel Siwa said...

Hahahhaah dada wa mimi Yasinta nasi tunaungana nawe kusakata musiki!!!!
@kaka Mrope sana nawe pia!

@kaka Manyanya mazoezi,kazi,burudani pamoja!!

Mbarikiwe sana wapendwa!!

Mija Shija Sayi said...

Muke ya Mubena kumbe kaka Isaac naye yumo...

Salimia yeye.

Rachel Siwa said...

Hahahaha Madame Mija papaa Isaac yeye napenda sana Wengee!!nitampia yeye salam, siku moya ataonyeshea wewe vileyeye anachezagaaaa!

Baraka kwako na familia dadake!

EDNA said...

Hata mimi nawazimia hao.