Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday 9 December 2011

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU JIJINI DAR PART - 2

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hivi kwa nini hizi sherehe zisisherehekewe na wote? kwa nini wengine wanakaa kwa heshima na wengine wanacheza au imba na huko vijijini je inakuwaje?

Rachel Siwa said...

Kweli da'Yasinta si Waswahili wanasema CHEREKO CHEREKO NA MWENYE MWANA? MBONA WENYE MWANA WAMEKAA? Wote wangekuwa na vibwebwe@

Nimependa hapo kwako wewe uliyewaletea huo Utanganyika uko mbele nao wamekuunga mkono!