Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 25 December 2011

Nawatakia Kheri, Baraka na Xmas Njema!!!!!!!!

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

nawe pia da´Rachel na familia. Pia mwaka 2012 uwe wenye mafanikio mema.

Anonymous said...

kwa sote inshallah afya na uzima tukaribishe mwaka mpya 2012 ..na uwe mwaka wa mafanikio mema na wenye upendo na wa amani duniani kote..happy new year

Anonymous said...

happy xmass and happy new year da rachel ..kwa wote waswahili duniani kote tunaukaribisha mwaka mpya 2012 uwe wa upendo na amani.

Rachel Siwa said...

Amina wapendwa Mungu atubariki sote na uwe mwaka wa Amani na Upendo.