Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday, 19 December 2011

Mtoto huyu Auwawa!!!!!!!

Habari hii inasikitisha sana,Pole sana wazazi/walezi , ndugu,jamaa na marafiki, kwa Msiba huu mzito kweni,Mungu awape Nguvu na Uvumilivu katika wakati huu mgumu kwenu.
               Habari na picha zaidi utazipata kwa MASHUGHULI BLOG.Ahsante.

4 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Human beings are OVER RATED...Siye twaweza kuwa wanyama hatari kabisa kuliko wanyama wengine wote....

RIP malaika wa Mungu usiye na kosa. Mungu Akupe pumziko jema....
============>

Nilikuwa napita hapa kusema kwamba sasa nimerudi tena rasmi. Tupo pamoja !!!

http://matondo.blogspot.com/2011/12/wanablogu-wenzangu-na-wapenzi-wote-wa.html

Yasinta Ngonyani said...

Kwa kweli inasikitisha sana watu kweli tu-wakatili . Malaika kama huyu jamani pole sana wazazi, ndugu na jamaa wote.

Anonymous said...

duh kweli kibongo bongo kiboko mungu awanusuru watoto wetu bongo

Anonymous said...

Inasikitisha, Mungu atulindie watoto wetu kwa kweli.