Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 7 December 2012

Nderemo Na Vifijo kwa Kaka Frank Mungo'ngo' Na da'Levina Kimwaga!!![2]

Waungwana;ni Bwana na Bibi Mungo'ngo' sasa......

Picha za pamoja na Wazazi,Ndugu,Jamaa na Marafiki.

Bwana na Bibi Mungo'ngo' wanasema Asanteni woote, kwa Maombi/Sala,Michango,Kujumuika na katika Yooote.

Hawana cha kuwalipa bali ni kuwaombea kwa MUNGU awaongezee pale palipopungua na awalinde kila iitwapo Leo.........

Mtawasamehe kama kulikuwa na makwazo/kukosea,Haikuwa kusudi lao.  kwani Binadamu hatujakamilika.

Wanawapenda  Wooote!!!!!!!!!

       
 Timu Nzima ya "Swahili Na Waswahi" na Wapenzi/Wadau Tunawatakia Masiha Mema.
                                            Pamoja Daima.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Napenda kuwatakia maisha mema ya ndoa na mwenyezi mungu awe nanyi pale mnapomwitaji.

Rachel Siwa said...

Sande Kadala kwa niaba yao!!!!