Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 19 December 2012

Mswahili Wetu Leo;SUSU COLLECTION BY SUBIRA WAHURE FOR SWAHILI FASHION WEEK 2012

Dada Subira Mwenyewe ni huyu wa Mbele!!!!


Waungwana;Mswahili wetu leo si Mwingine ni da'SUBIRA WAHURE.
Ni dada Mdogo mwenye mambo Makubwa!!!!!

Hizi ni Baadhi ya Kazi zake.Kujua Mengi kuhusu dada huyu ingia;http://subirawahure.blogspot.co.uk/

"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima

4 comments:

Subira Wahure said...

asante dada mkubwa

Rachel Siwa said...

Pamoja dadake!!!!

Mija Shija Sayi said...

Da Subira songombele mbele mdogo wangu songa mbele.. usitazame nyuma..

Na Mungu akutangulie katika kazi za mikono yako.

Stay blessed..

emuthree said...

Hongera Subira, hongera ndugu wa mimi, TUPO PAMOJA