Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday, 10 December 2012

Da' Mamie Msuya;Anawakaribisha kwenye MISA Ya mama Yake Mpendwa!!!

Mrs 'Mamie MsuyaFamilia ya Mr&Mrs Liberty Msuya inapenda kukualika/kuwaalika katika misa ya arobaini ya mama yao mpenzi; BULUNGU. (RIP) .

Itakayofanyika Jumamosi tarehe 15/12/2012,saa 8:oo Mchna[2:00pm]. 
katika ukumbi wa; Henley Green Primary School/Community Centre, Wyken Croft CV2 1hq.
  
Dress code black, white, or purple.
Kwa Mawasiliano Zaidi;07405389488[da'Mamie Msuya]

Ukipata Ujumbe huu wajulishe na wengine.
  Asanteni  na Karibuni Wote.

1 comment:

emu-three said...

Tupo pamoja ndugu wa mimi, ujumbe umrfika