Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday 12 September 2012

Tujikumbushe;Baraza la Watoto - Mahojiano na Rais, A,B,,C..!!!!!!!!


Waungwana; Tujikumbushe na kama hujaona,Baraza la Watoto,Mahojiano na Rais wa Jamuhuri ya Tanzania.Muheshimiwa .JAKAYA  KIKWETE.
Kuna lolote,Umejifunza/ unataka kutueleza kupita Video hizi?Karibu sana Tuelimishane kwa Upendo.Video hizi zinaendelea, kuona zaidi na kujifunza meengi ingia;CreativeGenesTZ pia unaweza kufuatana nao kupitia; twitter@creativegenesTz.

"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kila wakati maneno mazuri lakini utelezaji huwa ni mgumu sana...

Rachel Siwa said...

Umenena mama Erik!!

Anonymous said...

Tupo pamoja ndugu wa mm, nipo mapumziko kidogo

Rachel Siwa said...

Asante sana ndugu wa mimi,Pamoja Daima na Mapumziko mema.