Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday 25 September 2012

Siku kama ya Leo Madame,Nounou Alizaliwa;Burudani-Women Burundi Drummers!!!!!!!

Siku kama ya Leo miaka kadhaa iliyopita da'Nounou[Madinna]Alizaliwa.
Madame ya Billy uwe na wakati mwema Leo na sikuzote,Uzidi kuwa Baraka kwa Familia,Majirani, Marafiki na watu woote.MUNGU azidi kukulinda na Akupe sawasawa na Mapenzi yake.
Kwangu Nounou  ni zaidi ya Rafiki.MUNGU anakila sababu ya kutukutanisha.MUNGU amekujalia Wema,Upendo,Kusamehe na Upole kiasi.Ngoja niishie hapa kwani nina Mengi ya Kusema kupitia Wewe.Nimejifunza meengi sana kupitia wewe.Mimi na Familia Yangu Tunakupenda sana MADAME!!!!!!

Waungwana;Undugu si Kufanana au Kuzaliwa Tumbo Moja..Unasemaje Kuhusu Hili?
 Madame-Nounou ni Mswahili wa Burundi.Madame- Rachel-Siwa Mswahili wa Tanzania,TUMEKUWA PAMOJA MIAKA MINGI SASA,MUNGU TUBARIKI SANA!!!

"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.

3 comments:

nounou said...

Asante sana dada yangu ninafuraha kubwa sana.Namshukuru Mungu kunipa dada kama wewe .NAKUPENDA sana dada Siwa .Mungu akulinde wewe na family lako .I love u all.

Yasinta Ngonyani said...

Hongera sana kwa siku yako na Mwenyezi Mungu akulinde na akujalie afya tele.

emuthree said...

HONGERA SANA KWA SIKU YAKE YA KUZALIWA, Ndugu wa mimi tupo pamoja, usinione kimiya mambo ndivyo yalivyo!