Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday 15 September 2012

Chaguo La Mswahili Leo;Dully Sykes : Lady Jaydee,Banana Zoro na Papii Kocha!!!!!!


Mabibi wa [doti com] Kileo na Mambo Yao!!!!!!Mama Erik/Kadala.Ndugu wa mimi na Waungwana woote, hapo vipi? bibi katupiaaa.........Mabibi wa leo hawataki,Sangula,Vanga,Mganda,Lizombe,Mbeta, Mdumange. Nao wanaungana na mangoma ya sasa. Vipi ndiyo maendeleo au?
Waungwana; "Chaguo La Mswahili Leo"ni mambo Mchanganyiko.
Hunifahamu sikufahamu iweje leo unipakazie!!!........mambo ya Dully....Banana nae na mambo ya oohh oohh Nzela mwanamama!!!
mmhh ngoja nikanywe Maziwa kwanza...

Waungwana  sina Meengi Twende sotee sasa, kuna lolote unalo lakuongezea,kukumbuka katika nyimbo za Leo?Tuhabarishe/tuelezee!!!!!

"Swahili NA Waswahili" PamojaDaima.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! hii kali bibi hadi kanipita hataki lizombe, beta halafu madogoli yaani anakosa uhondo kwelikweli..