Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday 23 September 2012

Nawatakia J'Pili yenye furaha;Burudani-Yu mwema Mungu yu mwema,karen men's Chorate na Gael!!!!


Wapendwa nawatakia J'Pili yenye furaha,Kusifu,kuabudu,kusamehe na kusahau.....Je! waweza wewe kumvua mamba kwa ndoano? Au,kuufunga ulimi wake kwa kamba?
Neno La Leo;kitabu cha Ayubu;41:1-34........Yeye hutazama kila kilicho juu;Ni mfalme juu ya wote wenye Kiburi!!!

"Swahili NA Waswahili"MUNGU NA ATUBARIKI SOOOTE.

2 comments:

sam mbogo said...

Mungu yu mwema. nimeupenda sana wimbo huu,mdada anaimaba vizuri na sauti yake nzuri.nimefaidi asante sana bisikuti yangu kwa kutuwekea nyimbo hizi. kaka s.

Rachel Siwa said...

Bisikuti yangu nimefurahi kama umeburudika na kufaidi,Nami naupenda mnoo huu wimbo ndugu yangu!!
Pamoja sana kaka S. wasalimie wote huko..........