Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday 29 September 2012

Chaguo La Mswahili Leo;Mchanganyoo-Chaka Demus & Pliers,Shabba ranks na Shaggy!!!!!






Waungwana;
"Chaguo la Mswahili Leo" 

Maneno si Meeengi ,jee wewe ulicheza nyimbo hizi, basi hata kuzisikia?Jee kuna lolote unakumbuka kupitia Mchanganyo wa Leo au Nyimbo moja kati ya hizo?
Tuelezeeee.

Karibu kwa Yoote..Twende Soote sasa....Aaaaaa aaaaaahhh aaahhhh... Mhhhh Sauti imegoma.......kaaaziii kwelikweli ngoja niendelee na Chumvi.

"Swahili NA Waswahili" Pamoja sana

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

bonge la chaguo kachiki..kwangu zote ni ngeni..ahsante..

Rachel Siwa said...

Asante da'Kadala.hahahahhah hata Stendi kuu pale Songea hukuzisikia?

Yasinta Ngonyani said...

hapana sikuzisikia bwana wewe!!

Rachel Siwa said...

Haahaha da'Kadala natumaini leo umezisikiaaaaaaa!!!!!!

EDNA said...

Hizo nyimbo zimenikumbusha mbali sanaaaa,ila huyo DJ mie hoi, mwanakwetu una vituko wewe hahahaaaa.

Rachel Siwa said...

Wapi mwanankwetu!!!!hahahaaa DJ Rachel akikamua hapo.........