Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday 30 August 2011

Nawatakia Eid Mubarak . Tunapo kula na kunywa, Tusisahau na Wenye Shida!!!!!

Nawatakieni kheri na Baraka  wakati huu wa Eid na Siku zote!!!
Tunapokula na Kunywa, Tusiwasahau Wenye Shida na Tabu, Wagonjwa,Wajane na Yatima, Waliomagerezani pasipokuwa na Hatia.Tugawane tulichonacho ili Tufurahi pamoja!!!!!

Mungu Atubariki Sote.

6 comments:

Simon Kitururu said...

EID MUBARAK kwako pia MDADA!

Yasinta Ngonyani said...

EID NJEMA KWA WOTE... tUSHEREHEKEE KWA FURAHA NA UPENDO!!

sam said...

Haya ,Eid njema,na wewe,natamani ningekuwa bongo,pilau,maandazi uji wapilipili.. we achatu,ila sasa ukialikwa kwa wenyewe mashekhe,kipengere cha kukaa kukunja miguu ,kwa sisi wengine inakuwa shughuli pevu.haya faidi dada yangu. kaka S

mumyhery said...

shukran

emu-three said...

Shukurani na wewe pia!

Unknown said...

Sawa bwana japo walisherehekea kishetani kwa madisco na ulevi kishenzi yani.