Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday 15 August 2011

Waswahili wa Mji wa Cork,Ireland na Futari ya Pamoja!!!!!

                         Mji wa Cork katika picha.
     Wanawake wakipika na kina baba wakijiandaa kupokea wageni.
           Waandazi/waandaaji wakiwa tayari.
              Waswahili hawa nao walikuwepo.
         Watoto wa kiswahili wametulia.
   Shekhe akisisitiza Upendo na Umoja kwa Waswahili.
     Waswahili wakisaidiana ili mambo yawe sawa.
         Kina mama na kina kaka wakiendelea na maandalizi.
 Wakiendelea na Futari.
         
  Kina mama wakishughulika.
    Lete Uji hapa!
    Vipi mko sawa!
    Baada ya kumaliza msosi.
   Wakisikiliza maongezi.
    Watu wa karibu baada ya wageni kuondaka wakijipongeza!
                                      Maalim akitoa Shukrani kwa wote waliofika na wasiofika,Mungu awabariki sana na kuwaongezea kila lililo jema na Amani.Anawatakia Funga njema na anawapenda wote.

Shughuli hii ya Futari ya pamoja iliandaliwa na Maalim picha ya chini mwenye kanzu.Kwa kumshukuru Mungu na kuunagana na familia,pia kuwashukuru Wasawhili na jamaa zake kwa kuwa naye pamoja kwa kila jambo.

13 comments:

Anonymous said...

Da Rachel basi kimya kimya safsri yako ata kuagana tukale nasisi futar Ireland?mi nunia wewe kwa hilo.

Anonymous said...

Mhhh jamani,Da Rachel ulifaid basi maanjumati Kwa Kaka Cork Ireland

Anonymous said...

nami enda Cork Da Rachel Eid ,

Rachel Siwa said...

kwikwikwikwi Wajameni nyie samehe mimi apana fanyatena hivyo,mimi itakuwa aga nyie hapana nunia mimi eehh,
wewe naeenda Eid pelekea wao ndragon rice kwani wao bado natumia basmatti.

Simon Kitururu said...

Poa sana!

Jamani Mfungo Mwema!

Anonymous said...

Basi nami niombee Entry to cork Ireland kwa kaka nibebe hicho kiroba cha Dragon Rice iwe kiingilio Da rachel

Anonymous said...

Da rachel lini tena jameni hiyo .naona mambo makubwa hayo ya pwani ya cork

Kjunior said...

Kazi yako ni njema. Bigup mdau.

this is kjunior. Mdau mwenzio wa blogu

chib said...

Ramadan Kareem

Rachel Siwa said...

kaka Kitururu na kaka Chib Amina!
@Anony pale hakunashida unaingia tuu wewe beba tuu kiroba cha Dragon wangu!

@Anony wa 23:00 nakwambia mambo ya pwani ilikuwa ijumaa hiyo si unajua tena Swahili na Waswahili!

@kaka Kjunior,Ahsante sana na karibu sana nimefurahi kukuona hapa, salimia sana wanakijito!

Anonymous said...

tunashukuru kwa ushirikano ulioonekana kwa wadau wa huko, naamini mlifurahi sana, hasa hasa watoto wetu. Ubarikiwe kwa kututaarifu yaliyojiri huko, wakati mwingine msimuache kaka J

emu-three said...

Mungu awabariki sana na kuwaongezea kila lililo jema na Amani.Nasi huku twawatakia Funga njema. TUPO PAMOJA NDUGU YANGU

Rachel Siwa said...

Anony asante sana na kakaJ hatutamuacha.

@Ndugu wa mimi emu-three Amina na mungu atubariki sote,Pamoja ndugu yangu!!!.