Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday 20 August 2011

Miriam Atimiza Miaka 3!!!!!!!!!

                      Da'Miriam katika poziii.

                                    Keki zote za Miriam.


                       Akijaribu kuzima huku akiogopa.
                               Miriam akisaidiwa kukata keki.
                        Nakupenda sana mama chukua hii,wapambe wakishuhudia.
                            Miriam, Nami nakupenda sana mwanangu nawe kula eehh.
                        Huyu alilishwa kwa niaba ya watoto wa kiume.
                               Na kwaniaba ya watoto wa kike naye alilishwa huyu.
   Mwenyekiti wa wanaume wa Coventry Swahili Christian Fellowship,Alihakikisha kila mtoto anapata keki.
 Mwenyekiti wa watoto wa Coventry Swahili Christian Fellowship,Akishughulika.
                       Watoto wa Kiswahili wakipata chakula.


    Mama hapo akishushia na maji ,Watoto wakifurahi kwa kumaliza vyema na walifungashiwa.
Da'Miriam na mama yake wanasema Asanteni sana kwa kuungana nao katikasiku hii Muhimu kwao.
Pia Shukrani za pekee ziwaendee wana Coventry Swahili Christian Fellowship na Wageni wote.
Anawapenda sana na Mungu awabariki.


Nasi Swahili naWaswahili,Tunakutakia maisha mema na yenye Amani siku zote!!!!!!!

10 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera sana da´Mariam kwa siku hii muhimu kwako miaka mitatu si mchezo..Hongera nyingi sana kwenu wazazi kwa kumlea mtoto Mariam na Mwenyezi Mungu na awape nguvu na upendo zaidi za kumtunza Mariamu .

Simon Kitururu said...

Happy Birthday Miriam!

EDNA said...

Hongera Miriam

Goodman Manyanya Phiri said...

Many happy returns, Miriam: MIAKA MITATU IMEISHA SASA TUNASUBIRI WA NNE!

Simon Kitururu said...

Da Rechel: Hiyo picha hapo juu jamani kuna aliyeinama ambaye anabonge la kijungu sijui huyo ni weweee!:-(

Tukihama katika hilo:

Introdaksheni basi maana nahisi kuna sababu hiyo picha ndio sura ya BLOGU hii!:-(

Rachel Siwa said...

kwikwikwi@ kaka wa mimi Kitururu; huyo siye miye yakhe huyo mwenye buibui/baibui sijui nimepatia kuliita, Mswahili wa zenji,mwenye salawili nyeusi Mswahili wa baraaa ni dadako na mtoto wa kiume ni mswahili wa mafyaaaa na mtt wa kike ni mswahili lakini miye sikujua wa wapi, kakaa basi sote ni Waswahiliiii,picha hii tuliungana Waswahili wa Coventry, Tulienda pwani kupata upepoo, umeshanipata eehhh, sauti jee umeisikia kaka wa mimi?Swadakta!!!!!

mumyhery said...

hongera sana mammie

Simon Kitururu said...

@Da R:Hapo sauti lazima ni ya kumtoa nyoka pangoni yani!Asante kwa introdaksheni!Mmependeza!

emu-three said...

Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa Miriamu

Rachel Siwa said...

Kwaniaba ya Miriam, Ahsanteni sana na Mungu awabariki wote.