Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday 11 June 2011

Siku kama ya Leo Mash-P Alizaliwa!!!!!!!

Hongera  kaka Mash-p kwa kuongeza mwaka mwingine! Tunakutakia kila la kheri na baraka katika Yote.
Mungu akuongezee Miaka mingine Mingi.

6 comments:

Simon Kitururu said...

Happy Birthday Mkuu!

EDNA said...

Hongera sana kaka.

Mija Shija Sayi said...

Hongera kaka Mash-P.

mumyhery said...

Happy Birthday Mash-P

Yasinta Ngonyani said...

Sijui nimechelewa? Haya nakutakia kila la kheri kaka Mash-P kwa siku yako ya kuzaliwa.

Rachel Siwa said...

Hujachelewa da Yasinta!

Asanteni sana kwa baraka zenu,kwaniaba yake Mmbarikiwe