Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday 1 June 2011

Mapenzi/Mahusiano ya Jinsia Moja!!!!!!

Kumekuwa na Ongezeko  la Mahusiano ya kimapenzi  ya Jinsia Moja, Mpaka kutaka /kufunga Ndoa za jinsia Moja.Kuna baadhi ya Nchi wanapinga mpaka kutaka kuwadhuru au kuwaua kabisa.Na kunawanaoandamana kwa kupinga Mauaji hayo, Nakutaka wapewe haki zao za Kuoana au Kuendeleza Mapenzi/Mahusiano yao ya Jinsia Moja.

 Je wewe Mpenzi msomaji unamawazo/mchango gani katika hili? Karibuni sana Waungwana!!!!!!!

8 comments:

Simon Kitururu said...

Hivi mahusiano ya DADA na MAMA yake na ya KAKA na BABA yake yanaitwaje vile?

Nawaza tu kwa sauti hapa!:-(

Goodman Manyanya Phiri said...

Nasita kusema ni ongezeko; bali ningefikiri labda watu wanazidi kuwa wazi juu ya mambo ya jinsia zao.


Hawa watu ni kaka zetu dada zetu; amu, shangazi, au mama zetu (kama sio watoto wetu). Nawaunga mkono kabisa kwa kujitokeza hadharani.


Mimi hua nafurahi sana ninapoalikwa na mwanamme mwenzangu kunywa bia huko baa, nisishtukie natongozwa huko kwa kukubali mualiko...inaudhi sana!

chib said...

Mungu hakukosea kuumba mwanaume na mwanamke.
Dhana ya sasa, naona wanyama wana nafuu na maadili katika masuala ya mapenzi kuliko binadamu!

Anonymous said...

tuwe wawazi na tujikubali kwani hali hiyo kibaolojia inafahamika cha kufanya kwanza hawa watu wajikubali then watasaidiwa ingawa nao hawa wa jinsia moja pia hili ni tatizo

Simon Kitururu said...

@Mkuu CHIB: Umesahau BINADAMU ni WANYAMA na yasemekana katika WANYAMA ndio viongozi? Kwa hiyo labda subiria tu muda kidogo halafu wachunguze tena KUKU unaweza kustukia JOGOO mapenziyake ni ya kutaka kumnajisi JOGOO mwenziye!:-(

Rachel Siwa said...

hahahaa kaka Kitururu wewe!
jamani Asanteni sana kwa mawazo/michango yenu.

John Mwaipopo said...
This comment has been removed by the author.
John Mwaipopo said...

KITURURU...Mwe!!!