Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday 25 March 2011

Pozi la leo!!!!

Mpendwa picha na pozi.Unakumbuka picha za zamani za studio imepambwa maua?
Kama si sasa ulipiga ulipokuwa mtoto au wazee/wazazi wako,Je inakukumbusha nini/wapi?.Karibuni sana!!!.

3 comments:

Mija Shija Sayi said...

Mimi mapozi yoote ya studio yananikumbushaga Gilya Studio, studio hii ilikuwa maarufu sana Mwanza miaka hiyo. Yaani ikitokea ukaona picha zangu au za watu wengi waliokaa mwanza miaka ya sabini na themanini basi geuza nyuma utakutana na muhuri wa Gilya studio. Kwa ufupi hadi leo picha zote za studio naziitaga picha za Gilya.

Rachel hii ndo kumbukumbu yangu juu ya mapozi ya studio..

Simon Kitururu said...

Rachel umetoa wapi picha yangu?:-)

Picha za studio zaninkumbusha Mbeya utotoni.
Picha za zamani zanikumbusha mengi yani ,...
...nikianza simulizi sitamaliza!:-)

Rachel Siwa said...

Da Mija sipati picha hizo pozi sasa mkono kwa shavu au kiunoni!!si rushe wangu tuone pozi!!

@kaka Kitururu hiyo picha yako nilipata studio moja pale Morogoro ulipiga picha halafu hukutaka kulipia wangu!
mwaga mistori ya utoto wako na picha kaka Kitururu!!!!!

Asanteni sana

na wengine jee?