Thursday, 27 September 2012
Wednesday, 26 September 2012
WASAMARIA WEMA POPOTE DUNIANI TUNAOMBA MSAADA WAKO KUSAIDIA KUOKOA MAISHA YA MTOTO JULIANA MWINUKA !!!!!
Samahani kwa Picha..
Kwa Maelezo Zaidi waweza kuwasiliana na; http://www.francisgodwin.blogspot.co.uk/
Pamoja Tunaweza..Asante sana.
Mtoto Juliana Mwinuka mkazi wa kijiji Cha Mavanga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe anaendelea na matibabu katika Hospitali ya CCBRT wodi la wagonjwa wa Macho mtandao huu www.francisgodwin.blogspot.com unaendelea kuwashukuru wote wanaoendelea kutoa michango yao kunusuru uhai wa mtoto Juliana ambaye ni yatima
Mtandao huu unaendelea kuwapongeza wote wanaoendelea kuguswa na kuungana na wadau wengine kumchangia fedha za matibabu ,mtoto Juliana kama anavyoonekana akiwa ameunga uso wake kwa moto ni yatima anahitaji msaada wako ili kunusuru maisha yake waweza kutuma mchango wako kwa njia ya M-PESA katika namba hii 0754 026 299 au Tigo Pesa 0712 750199 namba hizi ni za mmiliki wa mtandao huu Bw Francis Godwin
Nawaomba tuungane kufanikisha kuokoa maisha ya mtoto Juliana Mwinuka na Mungu atatuongezea zaidi.
Mtandao huu unaendelea kuwapongeza wote wanaoendelea kuguswa na kuungana na wadau wengine kumchangia fedha za matibabu ,mtoto Juliana kama anavyoonekana akiwa ameunga uso wake kwa moto ni yatima anahitaji msaada wako ili kunusuru maisha yake waweza kutuma mchango wako kwa njia ya M-PESA katika namba hii 0754 026 299 au Tigo Pesa 0712 750199 namba hizi ni za mmiliki wa mtandao huu Bw Francis Godwin
Nawaomba tuungane kufanikisha kuokoa maisha ya mtoto Juliana Mwinuka na Mungu atatuongezea zaidi.
Pamoja Tunaweza..Asante sana.
Tuesday, 25 September 2012
Siku kama ya Leo Madame,Nounou Alizaliwa;Burudani-Women Burundi Drummers!!!!!!!
Siku kama ya Leo miaka kadhaa iliyopita da'Nounou[Madinna]Alizaliwa.
Madame ya Billy uwe na wakati mwema Leo na sikuzote,Uzidi kuwa Baraka kwa Familia,Majirani, Marafiki na watu woote.MUNGU azidi kukulinda na Akupe sawasawa na Mapenzi yake.
Kwangu Nounou ni zaidi ya Rafiki.MUNGU anakila sababu ya kutukutanisha.MUNGU amekujalia Wema,Upendo,Kusamehe na Upole kiasi.Ngoja niishie hapa kwani nina Mengi ya Kusema kupitia Wewe.Nimejifunza meengi sana kupitia wewe.Mimi na Familia Yangu Tunakupenda sana MADAME!!!!!!
Waungwana;Undugu si Kufanana au Kuzaliwa Tumbo Moja..Unasemaje Kuhusu Hili?
Madame-Nounou ni Mswahili wa Burundi.Madame- Rachel-Siwa Mswahili wa Tanzania,TUMEKUWA PAMOJA MIAKA MINGI SASA,MUNGU TUBARIKI SANA!!!
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.
Shindalo la Uchoraji Kwa Taasisi za Kielimu!!!!!
Image
Profession ikishirikiana na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa mara nyingine
inatangaza kuanza kwa muhula mpya wa pili wa Shindano ya Uchoraji maalumu kwa
Taasisi za elimu.
Shindano ambalo pia
linajulikana Kama: Educational Drawing Competition au Image Profession
Educational Drawing Competition, lina malengo ya kuibua vipaji katika fani ya
uchoraji kwa kuzingatia uwekezaji kwa watoto na vijana.
Theme/Wazo kuu la
mwaka huu: ART IMITATES LIFE au SANAA HUFUATISHA MAISHA
Makundi ya ushiriki
´
Chekechea,
´
Elimu
ya Msingi,
´
Elimu
ya Sekondari na
´
Elimu ya Juu
Kwa maelezo na
taratibu za Shindano tembelea Facebook Page/Group “Tanzania
Drawing Competition” au wasiliana na BASATA au
DRAWING COMPETITION – IMAGE PROFESSION,
P O BOX 92
DAR ES SALAAM.
SIMU: +255 222 664 740 / +255 713 484 040
/ +255 714 676 217 / +255 716 430 084
EMAIL: info@imageprofession.com
Monday, 24 September 2012
Wanaume na Mitindo;-Burudani-P-Square ft. Akon & May D - Chop My Money!!!!
Waungwana;"Wanaume na Mitindo"Mambo hayo!!Vipi wewe Baba/Kaka Vivazi hivi vinakugusa/vipenda? Jee unapenda kuvaa Saresare na Mke/Mchumba,Dada...wako?
Na kina Mama/Dada jee ungependa Mumeo/Mchumba,Kaka na.. wakitinga/kuvaa hivi? jee Saresare vipi?
Jee Wanawake mnakawaida ya kuwanunulia Waume zenu Zawadi au mmezoea kupokea tuu?.
Karibuni sana kwa Maoni,Ushauri na Kuelimishana kwa Upendo.Mambo haya kutoka kwa Rafiki wa Mswahili;
Thanks my love Tarou:http://www.tarou.sn "Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima........
Sunday, 23 September 2012
Nawatakia J'Pili yenye furaha;Burudani-Yu mwema Mungu yu mwema,karen men's Chorate na Gael!!!!
Neno La Leo;kitabu cha Ayubu;41:1-34........Yeye hutazama kila kilicho juu;Ni mfalme juu ya wote wenye Kiburi!!!
"Swahili NA Waswahili"MUNGU NA ATUBARIKI SOOOTE.
Friday, 21 September 2012
Waswahili Wetu Leo-Ilava,Wanawake na Mitindo!!Unapenda Shanga??Jimwage!!!!!!!!!


Waungwana,"Wanawake na Mitindo" Leo Tupo Kinyumbani nyumbani,Si wengine ni Wswahili hawa Waishio Nje lakini hawasahau ya Kwao.ni Ilava............
Ilava: It Can Be Done
Nisimalize Uhondo wooote, unaswali,Unataka Utoke Ki-
Shopping & retail
Chicago, Illinois 60653
+1 773-805-0704 Pia unawezakuwapata Facebook.
Mwanamke mwenzio/Mswahili mwenzio akifanya kitu kizuriri lazima umpe sifa yake!!!!
Wanawake wa Swahili na Mitindo/Majukumu.
Unalolote la kuongezea hapo?
Karibu sana Tunasubiri Maoni,
Ushauri na Kuelimishana kwa Upendo.
+1 773-805-0704 Pia unawezakuwapata Facebook.
Mwanamke mwenzio/Mswahili mwenzio akifanya kitu kizuriri lazima umpe sifa yake!!!!
Wanawake wa Swahili na Mitindo/Majukumu.
Unalolote la kuongezea hapo?
Karibu sana Tunasubiri Maoni,
"Swahili NA Waswahili"Pamoja Daima.
Subscribe to:
Comments (Atom)
































