Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday 12 May 2021

Jikoni Leo;Mboga za Kula na Ugali 9;Nyama

 Jikoni Leo;Mboga za Kula na Ugali 9;Nyamna ;yakuokwa/choma/kukaanga/kuchemsha.. ;Nimeunga kutumia; Nyanya,situmii za kopo,na huwa simpenzi sana wa kuzisaga labda niwe na haraka sana,Namenya (kizamani๐Ÿคฃ) ;kitunguu maji-cheupe, ;Kitunguu swaum sijui thoum ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ Tangawizi,hivi nanunua nakusaga nyumbani ๐Ÿค“ ;karoti ;hoho za rangi zote ;chumvi/maggi Ndimu/Limau ;Roiko/Simba mbili-siyo lazimaa ;pilipili mbuzi natupia karibu na mwisho ;Kupika/ Kuunga; Nyama nyekundu /unaweza tumia yoyote.. ;NyamaNimeosha ;Nikachemsha kwa chumvi/maggi,ndimu/limau ;Kitunguu swaumu/thoum ;Tangawizi ;Pilipili mtama/manga[blacpepper]...kwanza Baada ya Maji ya kuoshea kukauka nikaongeza maji kidogo (inategemea na ugumu wa nyama) Yalivyokauka nikaendelea kukaanga na Mafuta yake mpaka ikawa kavu.. nikakarangiza viungo kwa mafuta kidogo.. ;Nikaweka Nyama nikakaanga na viungo.. ;Nyanya nikaweka mwisho.. ;Kabla sijaokoa nikaweka tomato souse(ketchup)kidogooo ;Unaweza kuweka chill souse(ile ya Tanzania nikiwanayo huwa naweka hiyo) ;Unaweza kuweka tomato pure.. ;Kabla sijaokoa nikatupia pilipili.. ;Unaweza weka kabichi(Cabbege) Mkono mmoja isiive sana ๐Ÿ˜‹.. Hayaaaah kazi kwenu mnaweza kuongezea ujuzi nilipokosea ;siyo mpenzi wa viungooo vingii kama unapenda wewe Rukhsa ๐Ÿ™๐Ÿฝ Jikoni leo;Mboga 10 za kula na Ugali ๐Ÿ˜‹ : :Ugali una mboga zake jee wewe Unapenda mboga zipi kula na Ugali? :Mimi nitaweka hapa ninazo Zipenda na zinazo patikana hapa tulipo ๐Ÿ˜Š : ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kitchen today #mboga10 Jikoni Leo ๐Ÿ‘ฉ๐Ÿพ‍๐Ÿณ

No comments: