Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday 14 August 2012

Siku kama ya Leo da'Leyla Kiwinga Alizaliwa;Burudani-Lady Jaydee - Shamba!!!!!
 Siku kama ya Leo,Familia ya Bibi na Bwana M.S.Kiwinga Walipata Mtoto wa kike na Wakamwita LEYLA.
Naye ndiye Funga Dimba[Mtoto wa Mwisho] wa Familia hiyo.
Da'Leyla Tunakutakia kila lililo Jema Maishani.MUNGU Azidi kukubariki na kukulinda kila iitwapo Leo.Akupe sawaswa na Mapenzi Yake,Uwe baraka kwa Watu Woote.

Pamoja Sana. MUNGU NI PENDO2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

HONGERA KWA SIKU YAKO NA MWENYEZI MUNGU AKUZIDISHIE MIAKA MINGI.

Mija Shija Sayi said...

Mmmmh...Mbona mrembo hivyo?.. Itabidi nimtafute anipe siri ya urembo wake.

Hongera kwa siku hii njema ya kuzaliwa.