Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday 3 June 2012

Nawatakia J'Pili Njema,Burudani- Upendo Nkone,Abihudi Misholi!!!!!!


6.Lakini nasema neno hili,Apandaye haba atavuna haba;Apandae kwa Ukarimu Atavuna kwa Ukarimu.
7.Kila mtu na Atende kama alivyokusudia Moyoni mwake,si kwa Huzuni,wala si kwa Lazima;Maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa Moyo wa Ukunjufu.
Neno la Leo:Wakorintho9:6-15.

Mungu atubariki Sote!!!!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nakubaliana nawe Mungu atubariki sote... amani iwe nanyi na itawale majumbani mwetu. Jumapili na jioni njema

Rachel Siwa said...

Ameeeen dada wa mimi!!!!!!!