Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday 9 June 2012

Chaguo la Mswahli Leo;Mchanganyiko;ZAY B,DataZ,Mez B&RaYC,Cat-Z,AY,FA,Gk&Pauline Zongo na...Safi hiyooooo!!!!!!

Waungwana Leo hakuna Maneno Meengii, Ni Burudani tuu!!!!
Lakini hawa wengine wako wapi?
je Unakumbuka chochote kuhusu Burudani ya Leo?
 kibao kipi? na nini kinachokukumbusha?Tujuze basi.
Twende Sote sasa Safi hiyoooooo!!!!!!
"Swahili na Waswahili" Pamoja sana tuu.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

usilete mchezo ntakuchinja...uwiiii mpaka nimeogopa:-) jumamosi njema kachiki na kila atakayepita hapa awe na baraka pia amani.

Rachel Siwa said...

Hahahaahaa ukakimbia na viatu umesahau hapo hapo da'Kadala!!!!

Asante nanyi iwe njema na familia.