Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday, 13 October 2011

Mazishi ya Mpendwa Wetu; Baba Mzee Juma Penza, katika Picha

                       Marehemu Mzee Penza wakati wa Uhai wake.
     Kaka Mashaka akiweka Mchanga wa Mwisho.
       Kaka Mustapha akiweka Mchanga wa Mwisho.
               Kaka Iddy akiweka Mchanga wa Mwisho.
                   Rais Jakaya Kikwete akiweka Mchanga wa Mwisho.
               Mzee Janguo akiweka Mchangawa Mwisho.
             Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa, akiweka Mchanga wa Mwisho.
       Wajukuu nao hawakuwa nyuma kufanikisha Mazishi ya babu yao.


Shukrani kwa Wote Mliofanikisha Mazishi ya Mpendwa baba Yetu Mzee Juma Penza[JP].
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI;AMINA.


Rachel-siwa[Mwanapenza]na Timu Yote ya SwahilinaWaswahili;MAJONZINI.
picha kwa hisani ya Michuzi blog,Asante sana.

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Poleni sana kwa msiba. Tupo pamoja katika majonzi na maombolezo.

Mija Shija Sayi said...

Bwana alitoa, bwana ametwaa jina lake lihimidiwe..

Poleni wapendwa, tuko pamoja..

Yasinta Ngonyani said...

Nje ya mada ..naona umefanya mabadiliko..nikadhani nimepotea kumbe ..Nice..

Rachel Siwa said...

Asanteni sana Wapendwa,da'yasinta kwikwikwi asante kwa kunifariji na vituko vyako.

Simon Kitururu said...

R.I.P Mzee Juma Penza!

chib said...

Poleni sana. R.I.P. Mzee Penza