Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday 4 October 2011

The history of Kanga by TAMWA ,Michuzi na da'Chemi nao Wamo!!!!

4 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Safi sana kuelewa historia hiyo ya kanga!

Asante!

Rachel Siwa said...

kaka wewe unapenda kamga?

Goodman Manyanya Phiri said...

Kanga inamvutio wake kwa mwanababa; tafadhali usiniulize kivipi. Lakini Raisi wa Afrika Kusini aliweza kuvutiwa na vazi tu la kanga na kajikuta kitandani bila kizuizi dhidhi ya ukimwi. (Ila kusahihisha kidogo: "ni kabla hajawa Raisi")

Na amini wanawake A. Kusini wanahitaji kanga, lakini hamna mfanyabiashara anaewaza kuanzisha biashara hiyo kwani cha Mswahili Bibi weee kinadharaurika kwa Mswahili mwenyewe!

Rachel Siwa said...

Hahaahhahakaka Manyanya kweli kabisa, mwambie mama Tamara auze Kanga,watazoea tuu.