Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday 12 September 2011

Poleni Sana Ndugu Wa Kenya kwa Mlipuko wa Bomba la Mafuta!!!!!!!

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Jamani hii nini sasa ni uzembe kwa sisi waafrika au nini kwa mkupua ajali mbili Mungu ibariki Afrika..

Rachel Siwa said...

Da'Yasinta Mungu atubariki, pia nasi tujitahidi kupunguza hizi ajali.

Simon Kitururu said...

Poleni sana Ndugu zetu!

Unknown said...

Tuzidi kumwomba Mungu atuepushieni na mabalaa kama haya.