Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Showing posts with label Maonyesho. Show all posts
Showing posts with label Maonyesho. Show all posts

Sunday, 20 September 2015

Maonyesho ya ndege za kivita Washington DMV Sept 19, 2015‏


Picha kwa hisani ya Vijimambo na Kwanza ProductionMaonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa.
Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji.

 Askari miavuli wakishuka kwa aina yake

 Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo

 F-22 Raptor