Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 11 March 2016

Jikoni Leo; Na bi'Shekha Agil-How to Make Mchuzi wa Kuku
Shukrani; 

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana kwa mapishi ya leo...Je badala ya koriander naweza kutumia kiungu kingine maana mie ni tofauti na koriander

Anonymous said...

Asante ila mapishi YA TZ yanafanana MNO
Kitunguu nyanya koriander saum
Kwenye
KUKU
Nyama
SAMAKI
Nyegere
Mbaazi

Rachel Siwa said...

Karibu sana da'Yasinta,Unaweza kuicha tuu hiyo na mchuzi unakuwa mzuri pia...

Anonymous;hivi mbaazi unaweza tia hivi pia?
mimi huwa napika na kitunguu na Nazi tuu
Asante sana kwa mawazo na kututembela,Karibu tena.