Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday, 24 March 2016

Jikoni Leo; Mandazi ya kusokota ,Mapishi ya biscuit za karanga,na Sophie's Kitchen...

Wapendwa/Waungwana natumaini mnaendelea nyema na maandalizi ya Pasaka..
Ni Jikoni Leo na mapishi haya yatawasadia kuongezea kwenye maakuli ya Pasaka..
Mapishi haya kutoka kwa "da'Sophie"...

Basi nisiwachoshe na maneno meengi...

Twende sote sasa....


Shukrani;Sophie Kitchen...Zaidi;jitukumbuka63

"Swahili Na Waswahili"Muwe na wakati mwema.
2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa mapishi ngoja nijaribu hayo maandazi ya kusokota maana hiyo ya karanga...mimi na karanga tofauti kabisa:-)

Rachel Siwa said...

Ukishapika maandazi nami niite Kadala..