Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday 15 July 2015

Siku kama ya Leo da'Sandra-Neema Alizaliwa....!!!


Siku miezi miaka sasa.. Ni Furaha isiyo na kikomo kwetu kwa zawadi hii kubwa Mungu aliyotupatia
Mtoto kwa wazazi hakui atabaki kuwa mtoto tuu mpaka mwisho...

Hongera Sana da'Sandra-Neema(Dide)kwa kuongezeka mwaka mwingine..
Mungu azidi kukubariki,kukutendea,Kukulinda,Kukuongoza.
Akupe miaka Mingi ufanikishe ndoto Zako na Kazi aliyokutuma hapa Duniani...
Uendelee kuwa Baraka,Faraja kwetu kama wazazi na kwa Ndugu,Jamaa,Marafiki na Jamii pia.

Tunamshukuru Sana Mungu katika yote aliyokutendea na Anayoendelea kukutendea.
Mkono wake tumeuona/tunaendelea kuuona juu yako.
Tumejifunza mengi mno na tunaendelea kujifunza.

Shukrani kwa wazazi wetu kwa muongozo na mengine mengi..
Shukrani kwa ndugu/jamaa na Marafiki wote kwa kushirikiana nasi katika Maombi,Sala/Dua na malezi kwa ujumla..
Tunaamini mtoto halelewi na wazazi tuu..
Mungu azidi kuwabariki na kuwaongezea zaidi ya mnavyojitoa kwetu.

Mungu yu mwema sana..
Tunawapenda wote...
Happy birthday binti yetu Mpendwa Sandra-Neema(Didee)
Isaac family.


2 comments:

Anonymous said...

Happy bdy..mungu akulinde na akujalie ufikie malengo yako..na uwe mlezi wetu..amin

Yasinta Ngonyani said...

NADHANI SIJACHELEWA...HONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA