Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday 7 February 2012

Wanawake na Mitindo ni Mswahili-Maskat Designs!!!


Leo wanawake na Mitindo ni da'Maskat,yeye ni Desings,mimi nimevutiwa sana na kazi zake.
unaweza kuangalia zaidi kazi zake kupitia http://www.zib-fashion.blogspot.com.

8 comments:

Simon Kitururu said...

Poa Sana!

Yasinta Ngonyani said...

HONGERA! Kazi nzuri..nimependa rangi zake na pia hilo vazi na nimependa jinsi unavyoitangaza TZ yetu.

emuthree said...

Safi kabisa ndugu wa mimi , tupo pamoja

EDNA said...

Kazi nzuri mdada hongera.

Mbele said...

Safi sana. Ndio mambo yanayotakiwa hayo: ubunifu na utendaji makini. Kila la heri. Ngoja niende nikaiweke hii taarifa kwenye blogu yangu.

Rachel Siwa said...

Ahsanteni wapendwa,kaka Mbele itakuwa vyema.

Mbele said...

Dada Rachel, hatimaye, leo, nimefanikiwa kuiweka taarifa kwenye blogu yangu.

Jana nilihangaika kufanya hivyo, nikakwama, kwa sababu sikujua namna ya kuzitoa picha kwenye blogu za wengine na kuzigeuza kuwa .jpg. Leo, katika kubahatisha, nimegundua namna ya kufanya hivyo, na sasa picha inaonekana.

Rachel Siwa said...

Nimefurahi sana kaka Mbele kwa kufanikisha.Nimependa sana ulivyoelezea,Ubarikiwe sana.