Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday 28 May 2011

Usingizi Unaraha yake!!!!!!!!

Kuna asiyependa kulala?Usingizi nao ni Starehe jamani au mnasemaje?Nawatakia mwisho wa wiki mwema.

8 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Nami napenda kulala kama huyo bwana... chini kabisa! Kitanda mwiko!

Simon Kitururu said...

Usingizi ni starehe ila kuna starehe nyingine huzimwa kama mtu atalala katikati ya starehe!:-(

emu-three said...

Mhhh, kulala ni starehe, lakini usi-overdo! Utalemaa! Kwa mtoto kama huyo safai sana, maana ubongo unahitai muda wa kuyaweka sawa mafaili ya kumbukumbu!

Yasinta Ngonyani said...

Nakubaliana na mmm, kwa mtoto sawa kama ni kulala mchana ....
Simon:-(

Rachel Siwa said...

@kaka Manyanya unalala kwenye mkeka au?

@kaka emu-three na dada Yasinta asanteni kwa mchango wenu!!je kwa mkubwa mnafikiri ni masaa mangapi yanatosha?

@kaka Kitururu inabidi watu wasilale katikati ya mwingine maana starehe ya usingizi itapote? kwikwikwi @ Da Yasinta naona umemwita kaka Simon:-[ nahisi kuna jambo namimi nataka jua wangu si kizuri kula na mwenzio?

Nawapenda wote!!!!

Goodman Manyanya Phiri said...

@Swahili na Waswahili

Mkeka mzuri sana; lakini lazima rundo la blanketi kama sita hivi kufuata. La sivyo mimi mzee nitavunjika mgongo bure.

Moja ya ADVANTAGES za kulala chini ni kwamba unapoamka, ni rahisi kufanya mazoezi mengi sana utakaenyimwa na kitanda!


(Na asante kwa kuniuliza)

Rachel Siwa said...

Asante sana kaka Manyanya kwa majibu yako na Ushauri pia!.

Goodman Manyanya Phiri said...

Niwashukuru mimi hapa! (IT IS A PLEASURE!)