Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday 23 May 2011

Tracey atimiza miaka 10!!!!!!!!!!!!!

 Tracey-Sarah, Ametizimiza miaka 10,hapo amepozi akitafakali duhh nimekuwa dada sasa.

 Yaani mimi ndiyo nimefika maika hii? Kikosi kamili cha Watoto wa Coventry Christian Swahili Fellowship,Kikiongozwa na dada mkuu dada Damari Kihauka chini ya Mwenyekiti da Mija. Nitakueleza Siku nyingine mambo mengi kuhusu kikosi hiki!!!!!!

 Tracey na dada Damari wakitayarisha Keki ili kila mmoja apate.                                       


                      Tracey akipokea zawadi maalum kutoka kwa kaka Joel.
 Wamama nao hawakuwa nyuma,kwaniaba ya Wazazi wote wa Swahili Felloship.

                                   dada Tracey-Sarah anasema Asanteni sana na Mungu awabariki!!!!!!!

11 comments:

MissPosh said...

Happy birthday tracey god bless

Simon Kitururu said...

Hongera Da Tracey-Sarah!

Yasinta Ngonyani said...

Hongera sana Tracy-Sarah kwa kutimiza miaka 10!

Anonymous said...

Kazi kweli kweli leo hapo hongera kwa kuwa kigoli tracy..mungu akukuze na akupe afya na uzima ..

Goodman Manyanya Phiri said...

Tracey, ukubwani ndio kwenyewe sasa unakaribia zaidi kila kukicha. Karibu sana, na utupungizie matatizo ya dunia. Mimi ningependa uwe mwanasheria.

Wamesemaje wazazi wako kuhusu elimu ya juu?

Unknown said...

hongera Tracy... nitakuletea zawadi ya job application toka mcdonald kukukaribisha huku ukubwani lol!

Mija Shija Sayi said...

Hongera Rachel kwa kukuza jamani, hongera Tracey kwa kukua pia. Mungu azidi kuwa nawe na azidi kukujaza vipaji vingi zaidi ya ulivyonavyo, jamani napenda kusema katika kikosi kizima cha watoto wangu wa swahili fellowship huyu ni kiboko yao katika kujitolea, hapotezi muda kabisa wa kujiuliza uliza mara mbilimbili. Hongera sana mwanangu Tracey. Hongereni pia Rachel na Isaack kwa mwanamke huyu wa shoka. Ubarikiwe sana.

Unknown said...

WOOOOW!!!

EDNA said...

Hongera sana kadada.Mungu na akulinde.

mumyhery said...

Hongera sana Tracey, kila la heri na mafanikio shuleni na afya njema

Rachel Siwa said...

Asanteni sana Wajomba na Mashangazi wa Tracey naamini tupopamoja kwa yote.
@Mjomba Manyanya asante kwa kumchakugulia mwanao nasi kama Wazazi tupo pamoja.
@Mjomba Mrope duuhh kumbe ukubwa unamengi kazitena hahahahaha.

@Mama mkubwa Mija nasi pia tunarudisha shukrani kwako kwa malezi yako bora na kutuangalia,Mungu azidi kukulinda na Tunakupenda sana.