Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 27 April 2011

Mpendwa da Mija!!!!!!!!

YouTubeSisi sote ni kazi ya Mikono yake Mungu!

Hata na wewe Mpendwa da Mija ni kazi ya Mikono yake Pia. Mimi na Familiya yangu tunakutakia kila la kheri na baraka kwa siku yako hii ya Kuzaliwa na Siku zoteeeee!

Mija kwetu ni zaidi ya Rafiki!!!!!Tunakupenda na kukuthamini maishani! SEBHA AKJHIWE SANAAAA!
Pata kibao hicho!.
Karibuni sana wapendwa Tuselebuke na da Mija!!!!!!!!!!!
© 2011 YouTube, LLC
901 Cherry Ave, San Bruno, CA 94066

8 comments:

Simon Kitururu said...

Mpendwa Da Mija unajua sie wengine kukupenda inabidi kuwe na limiti kwa kuwa wewe ni mpenzi wa MTU!


Ila Mpendwa DA MIJA pata kheri bulungutu yani!

Mija Shija Sayi said...

@ Kitururu, Mpenzi Kitururu acha hizo rafiki yangu... lakini pia asante kwa burungutu la heri.

Rachel mimi sina la kukushuru namwachia Mungu. Asante sana kwa yoooooooooooooooote mdogo wangu, mimi na familia yangu tunawapendeni sana. Mbarikiwe sana.

Yasinta Ngonyani said...

Hakika kweli Rachel amesema wewe ni kazi ya mikono ya Mungu na ni kweli wewe ni zaidi ya rafiki Mungu akuzidishia mara zote na uzidi kuwa mtu mwema zaidi ya hapo ulipo. Unapendwa sana mwanamke wa shoka...

Rachel Siwa said...

kwikwikwi@kaka Kitururu yani da Mija huyu ameshawahiwa!!!!!!

Da Mija asante piaaaaaaaaaa!

Ni kweli da Yasinta! Sengwiliiii sijui nimepatia?

Yasinta Ngonyani said...

Umepatia kiasi chake ni SENGULAYI Ahasante na wewe Rachel sikujua unakiwezaz kingoni...

Rachel Siwa said...

hahhahahaha Asante da Yasinta!!kidogo nasikia kwa mbali kinyasa tulikaa na Wanyasa dada!!!na vijimila kidogo navijuajua kama kutotia chumvi kwenye chakula wanawake ni kwa maana gani!!!!!

Pia ninaye dada yangu mngoni basi najua nitajua zaidi!anaitwa Yasinta Ngonyani.

Simon Kitururu said...

@Rachel: Umestukia eeh ukichelewachelewa jinsi wajanja wawahivyo eeh?:-)

Rachel Siwa said...

kwikwikwi @Kitururu lakini anao wadogo zake huyo!