Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday 7 April 2011

Maisha ni Kitendawili!!!!!!!!

Huyu amejikunyata na hana furaha kabisa.   Kuna kinacho Msibu Maishani!!!.
Huyu naye amejiinamia na rafiki wako pembeni,lakini haitaji maongezi nao.Kuna anachowaza!!!!!!!!

Hii ndiyo dunia yenye mengi Mazuri na Mabaya,yenye Kupendeza na Kuchukiza,yenye Raha na Karaha,yenye Hudhuni na Furaha,yenye Vicheko na Vilio,yenye Kupata na Kukosa, yenye Kutia moyo na Kuvunja moyo.!!!Mmmhhh!!Tunahitaji Upendo na Faraja. Wapendwa nini chanzo  cha  haya na mwishowake nini?..


5 comments:

Simon Kitururu said...

Nakunukuu``Hii ndiyo dunia yenye mengi Mazuri na Mabaya,yenye Kupendeza na Kuchukiza,yenye Raha na Karaha,yenye Hudhuni na Furaha,yenye Vicheko na Vilio,yenye Kupata na Kukosa, yenye Kutia moyo na Kuvunja moyo.!!!´´- mwisho wa nukuu.

Hicho ulichoandika mie nakiita ndio ``MAISHA´´.

Kwa hiyo kama huamini MASWALA ya maisha baada ya KIFO,...
....jibu la ulichouliza ni,...


-chanzo chake ni kuwa HAI mwisho wake ni mtu anapofariki.:-(

Yasinta Ngonyani said...

Canzo chake ni maisha na mwisho wake ni kufa dadangu......

Rachel Siwa said...

Nakubaliana nanyi wapendwa! kweli maisha ni safari kila mtu akifika anashuka kwenye basi,wengine wanaendelea!.

chib said...

Mtoto aliyejikunyata amenigusa sana!

Rachel Siwa said...

Nakujua vyema kwa swala hili @kaka Chib najua nimekugusa!.