Da'Fay Pia alisisitiza Wanawake Tuungane,Tuinuane,Tusaidianae Pia Tupende vya Kwetu..Tujitoe ilitujifunze zaidi,,Tuache Ubinafsi ,Elimu ndiyo Mkombozi wetu..Tusonge mbele na Tuamke.....na Mengine Meeengi Sana.........
| Mwanamke wa Shoka hapa katulia anasikiliza kwanza..... |
| Akapewa Nafasi.... |
| Msanii kaachiwa Jukwaaa........... |
| Da'Mija alionngelea kwa nini Wanawake wanakuwa na Migogoro,Malezi,Familia,Kazi za Mikono,Kutokata Tamaa na Mengine Mengiiiiiiii..... |
| Da'Stellah katika Poziii..... |
| Aliongelea Kwa nini waliamua kufanya hii Shughuli ya Coventry Women Gala, Matarajio,Mafanikio,Mapito/Changamoto na Mengine meeeengiii.... |
| Kwa niaba ya wenzie..da'Halima na da'Agness..waliwashukuru sana Wageni wao wengine walitoka Mbali ili kufanikisha Jambo Hili.. |
| Da'Iren Mswahili ya KENYA........ |
| Yeye alisisitiza si BOX tuu hapa...Wanawake Amkeni na mji -Ajiri inawezekana.. yeye ameji Ajiri sasa na mambo yake iko Pouwa.... |
| Wanawake wametulia wakisikiliza kwa makini........ |
| Mwanamke Urembo... |
| Wasichana walioonyesha Mitindo ya Mwanamke wa Shoka.... |
| Kanga hiyo... imevaliwa na mtoto wa Kiswahili... |
| Mishono ndiyo hiyo....... na watoto wa kwetu... |
| Summer..ipo njiani............. |
| Wacha weeee.....Motooo...DJ Nae alituwekea Moshii..hahahhaha!!!!!!! |
| Ahhhh dadake..Mwanamke wa Shoka,Da'MIJA Na Watoto wa Kiswahili...Mmewezaaaaaa... |
| Mbunifu Da'Mija na Watoto/wadada wa Kiswahili..Pamoja Wakipoziii .......Baada ya kumaliza Maonyesho Yao..... Hakika mmeweza..MUNGU azidi kubariki kazi za Mikono Yako....... Picha Zaidi ingia;http://mitindoafrica-abroad.blogspot.co.uk/ |
| Da'Stellah,Da'Halima,Da'Agness..Wakimpongeza Mwanamke wa Shoka na Walioonyesha mitindo!!!!!! |
| Da'Mariam Kilumanga alifurahishwa sana sana na Kazi za Da'Mija pamoja na wasichana....kama unavyoona hapo Wakiongea zaidiiiiiii.... |
| Kwa Furaha kabisa na bila ya kujizuia,baadhi ya watu walitoka mbele kupiga picha na kuongea nao ........ |
| Kaka Paul ndiyo Alikuwa DJ wa Siku Yetu Amefanya kazi nzuri sana Tumuunge mkono...Kijana/Mtoto wa Nyumbani..namba yake..07521 32 15 43 ... |
| Kaka Paul na Da'Rachel..Picha ya pamoja kwakumaliza vyema kazi ya BURUDANI!!!!!!!!!!! |
| Kwenye Shughuli kula lazima na Tulishiba......... |
| Waanzilishi wa COVENTRY WOMEN GALA.. HALIMA,STELLAH,AGNESS!!!!!! |
Wakakutana na Vichwa hivi...da'Mija,da'Rachel.[MI-RA]..hahaahaa..Moootoooo......
Kama ulikosa hii usikonde zitakuja nyingine zaidi..wewe tuu....
Kaa Tayari kwa Mambo ya Watoto;
MTOTO WA AFRIKA INAPIKWA!!!!!!
Kama utapenda kutudhamini,Ushauri/Maoni na Mengine ya Kuelimisha kwa Upendo..KARIBUNI SANA.
Nikiripoti Kutoka COVENTRY WOMEN GALA....
Ni mimi;RACHEL wa "SWAHILI NA WASWAHILI"
PAMOJA SANA.
