Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Showing posts with label Mitindo Mchanganyiko. Show all posts
Showing posts with label Mitindo Mchanganyiko. Show all posts

Thursday, 9 November 2017

Rachel-siwa na Mitindo Mchanganyiko;Kwaheri Summer..!![Rachel-Siwa and Style Combination; Goodbye Summer .. !!]Hamjambo wapendwa/waungwana,vipi hapo ulipo hali ya hewa ikoje?
Hapa tulipo kwa sasa Baridi imeanza na majira ya Joto yamekwisha,
hasa sisi wa kuja Makoti yana tuhusu sasa..
Tunamshukuru Mungu tulikuwa na wakati mzuri wa majira ya Joto[Summer]
Tunategemea kuwa na wakati mzuri pia kwa kipindi cha baridi[Winter]kama itakavyo mpendeza Mungu..
Je wewe ulikuwa na wakati mzuri?
Mungu akubariki na uwe na wakati mzuri huu na ujao.."Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima.

Saturday, 23 November 2013

Wa-Africa Na Mitindo Mchanganyiko!!!!!

Mhhhh..Mengi sina..ni Wa-Afrika na Mitindo...mimi naiita Mitindo TATA..
Vipi Inavalika? Si wanasema Wanawake tunavaa mavazi yanayo fanana na Yao..nawao jee?......haya na Nywele za dada kama hivyo.

Kuona Zaidi nifuate;http://www.mitindoafrica-abroad.blogspot.co.uk/

"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.

Thursday, 25 April 2013

Mitindo Nga'mbo;Fashion Sense TV!!!!!!!Waungwana, Walioko/Wanaoishi Nga'mbo  Baadhi ya Maeneo Jua limeanzaa..watu watapungua uzito kwa Makoti..hahahhaha.. ...
Vipi wewe hapo ulipo? 
haya niwakati wa kuzunguka zunguka Mjini , Nyama Choma, Kupeleka/Kucheza na Watoto Park na Mengine meengi..Raha tupu!!!


 Na Mitindo ndiyo hiyo Madukani..................."Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima