Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday 5 October 2015

Ibada ya kumuombea Mama Kateng'anyenyi iliyofanyika Silver Spring MD


Broadcast live streaming video on Ustream

Broadcast live streaming video on UstreamPadri Lehandly Kimario akiongoza ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama na bibi yetu Bettisheba Pole Ketang'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.


Mtoto wa marehemu Felicia Simms akisoma wasifu wa marehemu katika ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama, bibi Bettisheda Pole Keteng'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili  Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

Kwa picha zaidi bofya HAPA

No comments: